Ameacha Mke, Watoto Wa Kike Wawili, Ndugu Wa
SW
ASALAM ALEYKUM. Marehemu ameacha watoto wa kike wawili, mjane, ndugu wa kiume mmoja, na ndugu wa kike wa tatu. Je, asilimia ngapi kila mtu atapata?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukran zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mirathi ya baba aliyeaga. Muulizaji hakututajia
Katika
“Na wake zenu watapata robo mlichokiacha, ikiwa hamna mtoto. Mkiwa mna mtoto basi sehemu
Na mabinti kwa kuwa wao ni wawili watapata kila mmoja thuluthi (1/3).
Ama ndugu wa marehemu watarithi kwa sababu ya kutowepo watoto wa marehemu wa kiume.
Jadwali ya wirathi itakuwa
|
Namba |
Uhusiano na Marehemu |
Kiwango |
Asilimia |
|
1 |
Mjane |
Thumuni (1/8) |
12.5 |
|
2 |
Binti 1 |
Thuluthi (1/3) |
33.33 |
|
3 |
Binti 2 |
Thuluthi (1/3) |
33.33 |
|
4 |
Kaka |
|
8.34 |
|
5 |
Dada 1 |
|
4.17 |
|
6 |
Dada 2 |
|
4.17 |
|
7 |
Dada 3 |
|
4.17 |
|
|
Jumla |
|
100.01 |
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


