Juisi ya Kuua Toksini (Athari Za Sumu) - Detoxifying juice
.jpg)
Vipimo
Majani ya Kale (kale leaves) 3
Brokoli pamoja na miche yake ½ msongo
Kabeji iliyokatwa pamoja na zizi lake ½
Nyasi majani (fennel) 1
Tufaha (apples) 2


Majani Ya Kale Nyasi majani (fennel)
Namna ya kutayarsiha
1. Katakata vitu vyote vipand weka katika bakuli
2. Tia katika mashine ya kukamua juisi, washa mashine ikamue juisi.
3. Mimina katika gilasi ikiwa tayari kunyiwa
Kidokezo:
Juisi hii ni ya kuondosha athari za sumu (toxins) zinazokusanyika mwilini na kusababisha maradhi mbali
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
