Miyraath – Babu Kaacha Mke Na Watoto 7, Wasii Kagawa Mali Kwa Upendeleo, Wengine Hawajapata
SWALI:
Asalam aleykum wa rahmatullah wabarakatu, Ramadhani kareem,
Naomba kuuliza kuwa Babu yangu amefariki ameacha mke na watoto 7 wakike na waume zao, mmoja alikuwa mume wake ameisha fariki na walikuwa na bin ami yao mmoja, sasa hapa kwanza nataka kuja mirathi yao itakua vip? Pili palipita muda hapa kurithiwa kuwa wasia alisema mali aliyo acha Babu yana deni ni mpaka lipite deni, ilipo malizika deni wasii akasema kua hizi mali nime usiwa kila mtu chake na akafanya hivo, lakin tuliona kua wasiya huo kua ume wapa wengine zaid kuliko wengine kwa mfano nyumba 7 kila mtu kapata yake lakini kuna shamba wame chukua dada wawili na waume zao kwa sababu ni wana wa mjomba kwa shangazi na waume zao ni ndugu kuna nyumab pia wamechukua. Sasa kuna matizo wajukuu wadai haki ya mama
WASHUKRAN JAZAKA LLAH KHEIR.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu Mirathi ya babu aliyeaga dunia.
Hakika ni kuwa masuala yanayohusiana na Mirathi yamekuwa na ugumu
Mwanzo kabla ya kugawa Mirathi inatakiwa marehemu alipiwe madeni yake yote anayodaiwa kutoka katika
Na mara nyingi,
Ama waume wa binti za marehemu hawarithi chochote kutoka kwa alichoacha marehemu. Na binti wote mgao wao unakuwa ni mmoja tu wakipata sawasawa bila kutAzamwa kwa tofauti ya miaka. Mke mgao wake unafahamika kwani yeye marehemu akiwa na mtoto au watoto anapata thumuni (1/8). Na mabinti wakiwa zaidi ya wawili wanagawa thuluthi mbili ya
Kisha umetueleza kuwa wapo baadhi ya watoto wa marehemu walioaga dunia, je, waliaga dunia kabla ya baba
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha

Shukurani zangu nyingi kwa
Shukurani zangu nyingi kwa jawabu mulionipa na nasikitika kwa usumbufu niliowapa kwa kuto kamilika suali langu,kamujuavo bin adam hatuko kamili.
kuhusu suali au maelezo ya haya:
Kisha nimewa eleza kuwa wapo baadhi ya watoto wa marehemu walioaga dunia, je, waliaga dunia kabla ya baba yao au baada?JAWABU:-Watoto wote walikufa baada ya mama yao kufariki bila kurithiwa.Suali la pili hawa jamaa wa marehemu walio hai baada ya kuaga dunia kwa babu nikinani?
WASHUKRAN,JAZAAKUM LLAH