Kulala Na Janaba Na Kuamka Na Swawm
SWALI:
asalam aleikum
swala langu ni ikiwa mtu amelala na janaba siku ya ramadhan akamka asubuhi je saum ina swih ama itakuwa haifai
JIBU:
AlhamduliLLah, Waswalaatu Was-salaam 'alaa Rasuli-Llah صلى الله عليه وآله وسلم Amma ba'ad,
Jibu ni kwamba inafaa kulala na janaba na kuamka kutia Twaharah (ghuslu) asubuhi lakini kabla ya jua kuchomoza ili uwahi kuswali swalah ya Alfajiri na Swawm yako itaswihi.
Tazama pia Swali na Jibu katika kitengu hiki kifuatacho kuhusu maudhuu hiyo.
Wakati Wa Mwisho Kukoga Janaba Katika Mwezi Wa Ramadhaan
Na Allaah Anajua Zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
