Ufafanuzi Wa Swali La Kumlipia Mama Aliyefariki Deni Swawm
SWALI:
asalam alaykum mimi ni yule msichana ambae niliuliza swala kuhusu kumlipia mama yangu ambae ameshafariki swaumu yake huyu mama yangu hii swaumu ilipitiwa na miezi kumi na tatu na yeye alikuwa hai je tunaweza kumlipia ule ule mwezi mmoja au naomba munieleze tutalipa vipi au inaongezeka nisaidieni huyu mama yangu alihafilika na hakulilipa deni lake kwa muda mrefu M/mungu awape afya na nguvu muzidi kutusaidia
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani dada yetu kuhusu swali lako jingine la kutaka ufafanuzi kuhusu jibu tulilotoa kwako katika mas-ala ya kumlipia funga mamako aliyeaga dunia.
Awali ya yote ni muhimu tufahamu kuwa katika kulipa deni ikiwa ni lako au unamlipia mama mzazi tuwe ni wenye kufanya hima kulipa kabla Ramadhaan nyingine haijafika. Ikiwa utakuwa umepitia vyema jibu letu la mwanzo suala hili halingekuwa limejitokeza kwani limo ndani.
Kwa ufupi ni kuwa nyinyi
Natumai tutakuwa tumeeleweka vizuri kuhusu
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


