Usiwafanye Watu Wa Bid'ah Kuwa Mashahidi Wa Jambo
Imaam Maalik (Rahimahu Allaah)
Alhidaaya.com
Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) amesema:
"Usiwafanye kuwa shahidi watu wa bid'ah na watu wa matamanio."
[Jaami' Bayaan Al-'Ilm Wa Fadhwlihi]