108 - Al-Kawthar
الْكَوْثَر
Al-Kawthar: 108
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ ﴿١﴾
1. Hakika Sisi Tumekupa (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) Al-Kawthar (Mto katika Jannah).
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ ﴿٢﴾
2. Basi swali kwa ajili ya Rabb wako na chinja.
إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ الْأَبْتَرُ ﴿٣﴾
3. Hakika mbaya wako, yeye ndiye atakayekatiliwa mbali (kizazi na kila kheri).
