Abuu Bakr Al-Balkhiy: Rajab Kupandikiza Mbegu Sha'baan Kutilia Maji Ramadhwaan Kuchuma Matunda

Kauli Za Salaf 'Ibaadah za Misimu

 

 

Rajab Ni Mwezi Wa Kupandikiza Mbegu, Na  Sha'baan Ni Kutilia Maji

Na Ramadhwaan Ni Wa Kuchuma Matunda

 

Abuu Bakr Al-Warraaq Al-Balkhiy (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Amesema Abuu Bakr Al-Warraaq Al-Balkhiy (Rahimahu-Allaah) kwamba:

 

"Mwezi wa Rajab ni wa kupandikiza mbegu, mwezi wa Sha’baan ni wa kutilia maji mbegu na mwezi wa Ramadhwaan ni mwezi wa kuchuma matunda."

 

 

[Latwaaif Al-Maaarif Fiymaa lil Mawaasim Al-‘Aam min Al-Wadhwaaifi]