Skip to main content

Fataawaa: Maudhui Mbali MbaliImaam Ahmad bin Hanbal - Usiswali Nyuma Ya Anayesema Qur-aan Imeumbwa

Usiswali Nyuma Ya Anayesema Qur-aan Imeumbwa

Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Mtu alimuuliza Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahu Allaah) akamwambia:

"Eee Abaa 'Abdillaah! Je, naweza kuswali nyuma ya mwenye kunywa pombe?
 
Akajibu: "Hapana."

Akauliza (yule mtu): "Je, naweza kuswali nyuma ya anayesema Qur-aan imeumbwa?
 
Akajibu (Imaam Ahmad): Subhaana Allaah! Nakukataza kuhusiana na Muislamu na wewe unaniuliza kuhusiana na Kafiri?!

[Twabaqaat Al-Hanaabilah, 2/378]