12-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Ni Lazima Kutia Niyyah Usiku Kwa Ajili Ya Swiyaam Za Sitta Shawwaal?

Ni Lazima Kutia Niyyah Usiku Kwa Ajili Ya Swiyaam Za Sitta Shawwaal?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Hakuna budi kutia niyyah kabla Alfajiri ili apate kutimiza siku hiyo."

 

 

[Al-Fataawaa (19/184)]

 

 

 

Share