Imaam Fudhwayl Bin 'Iyaadhw: Ghiybah Ikidhihiri Undugu Kwa Ajili Ya Allaah Unapotea

Kauli Za Salaf: Maasi

Ghiybah Ikidhihiri Undugu Kwa Ajili Ya Allaah Unapotea

 

Imaam Fudhwayl Bin ‘Iyaadhw (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

G"hiybah inapodhihiri, undugu kwa ajili ya Allaah hupotea."

 

 

[Hilyatu Al-Awliyaa (886)]