Imaam Ibn Al-Qayyim: Miongoni Mwa Neema Neema Za Ajabu Ni Neema Ya Kusahau

Miongoni Mwa Neema Neema Za Ajabu Ni Neema Ya Kusahau

 

Imaam Ibn Al-Qayyim  (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Al-Haafidhw Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Na katika neema za ajabu ni neema ya kusahu; kwani ingekuwa si kusahau, asingepuuzia jambo, na wala zisingemalizika kwake huzuni, na wala asingejiliwaza kwa msiba, na wala zisingekufa kwake huzuni."

 

 

[Miftaahu Daar As-Sa’aadah (236)]

 

 

Share