Shaykh Fawzaan: Tofauti Baina Ya Iymaan Na ‘Aqiydah

 

Tofauti Baina Ya Iymaan Na ‘Aqiydah

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:

 

“Iymaan ndio ‘Aqiydah, na Iymaan na ‘Aqiydah ni (mambo ya) moyoni. Kwa hiyo, Iymaan na ‘Aqiydah ni kitu kimoja.

Na Iymaan ni matamshi kwa ulimi, na itikadi katika moyo na kitendo kwa viungo (vya mwili).

Ama ‘Aqiydah ni jambo la moyoni kwa lile lenye kukusudiwa, niyyah na maazimio.”

 

 

[http://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/16582]

 

 

 

Share