Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Hasan Al-Baswriy: Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa
             
                   
                 
                        
                        
			                        Imaam Hasan Al-Baswriy: Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa
                                    
                        
              
    
  
      
  
  
    
Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa
 
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
 
www.alhidaaya.com
 
 
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) amesema:
Dunia yote ni kiza isipokuwa Majaalis Al-‘Ulamaa (vikao vya Wanachuoni)
 
[Jaami’ Bayaan Al-‘Ilm wa Fadhwalih 264]