Skip to main content

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Hutopata Mfano Wa Qur-aan Kukutibu

Kauli Za Salaf: Taqwa-Ikhlaasw

Hutopata Mfano Wa Qur-aan Kukutibu

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

Mahmaa (vyovyote) utakavyotafuta matabibu wakuondosheee (kukutibu) yaliyomo katika moyo wako, hutopata mfano wa Qur-aan.

[Sharh Al-Kaafiyah Ash-Shaafiyah (1/198)]