Al-Lajnah Ad-Daaimah: Haifai Kuswali Nyuma Ya Mabaadhi; Ni Kundi Potofu La Kikhawaarij

Haifai Kuswali Nyuma Ya Maibaadhi; Ni Kundi Potofu La Kikhawaarij

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Je, Ibaadhi ni kundi la Khaawarij linalohesabiwa kuwa ni potofu? Na je, inafaa kuswali nyuma yao?

 

 

JIBU:

 

Ibaadhi ni kundi linalohesabika katika makundi potofu kwa sababu ya uovuw wao na ukhalifu wao wa kumuasi Khaliyfah 'Uthmaan bin 'Affaan na 'Aliy bin Abiy Twaalib (Radhwiya Allaahu 'anhum), na haifai kuswali nyuma yao.

 

 

Na Tawfiyq Ni Ya Allaah

 

 

[Al-Lajnatu Ad-Daaimah, Fatwa namba 6935]

 

 

Share