Imaam Ibn Al-Qayyim: Mapendekezo Ya Tawassul Kwa Suwrah Al-Faatihah

 

Mapendekezo Ya Tawassul Kwa Suwrah Al-Faatihah

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“(Suwrah Al-Faatihah) ni ufunguo wa Kitabu na Mama wa Kitabu na  Aayah saba zinazokaririwa, na shifaa kamili na dawa ya kunufaisha, na ruqya kamili, na ufungo wa utajiri na kufaulu, na hifadhi ya nguvu, na kinga ya dhiki na ghamu na khofu na huzuni kwa mwenye kuijua thamani yake na akaipa haki yake na akautumia vizuri uteremsho wake (Al-Faatihah) kwa ugonjwa wake na akajua njia ya kuiombea shifaa na kupata dawa kwayo na ni siri ambayo imekusudiwa kwa ajili yake….”    [Zaad Al-Ma’aad (4/318)]

 

 

 

 

Share