Skip to main content

Imaam Mujaahid: Kufuata Njia Nyenginezo Zisizokuwa Za Sunnah; Ni Bid’ah

Kufuata Njia Nyinginezo Zisizokuwa Za Sunnah; Ni Bid’ah

Imaam Mujaahid (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Mujaahid (Rahimahu Allaah) amesema kuhusu kauli ya Allaah (Ta’aalaa):

وَلَا تَتَّبِعُوا السُّبُلَ فَتَفَرَّقَ بِكُمْ عَن سَبِيلِهِ ۚ 

Na wala msifuate njia nyinginezo zitakufarikisheni na njia Yake. [Al-An’aam: 153]

(Maana ya "wala msifuate njia nyinginezo") ni bid’ah na mambo yenye utata.

[Hilyatu Al-Awliyaa (3/293)]