Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

10-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Biashara: Mlango Wa Iqrari (Kukiri Kosa)

بُلُوغُ الْمَرام

Buluwgh Al-Maraam

كِتَابُ اَلْبُيُوعِ

Kitabu Cha Biashara

بَابُ اَلْإِقْرَارِ

10-Mlango Wa Iqrari[1] (Kukiri Kosa)

750.

عَنْ أَبِي ذَرٍّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ لِي رَسُولُ اَللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ {قُلِ اَلْحَقَّ، وَلَوْ كَانَ مُرًّا} صَحَّحَهُ اِبْنُ حِبَّانَ فِي حَدِيثٍ طَوِيلٍ 

Kutoka kwa Abuu Dharr[2] (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesema Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) ameniambia: “Sema haki japo ni chungu.” [Kaisahihisha Ibn Hibbaan kutoka Hadiyth ndefu]


[1] Iqraar ni kuthibitisha kitu fulani, kulingana na Istwilaah ya kishariy’ah ni mtu kukubali aliyoyafanya. Ni kinyume na kukana au kukataa.

[2] Jina lake ni Jundub bin Junaadah, ni Swahaba alisilimu kitambo, imepokewa kuwa yeye alisema: “Mimi ni mtu wa tano katika Uislam.” Hupigiwa mfano katika ukweli, naye ndiye wa kwanza aliyemuamkia Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) maakizi ya Kiislamu. Alifariki mwaka wa 32 Hijriyyah. Katika vitabu vya Hadiyth, ana Hadiyth 281.


Book traversal links for 07-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Miamala Ya Biashara - كِتَابُ اَلْبُيُوعِ

  • ‹ 09-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Biashara: Mlango Wa Ushirika Na Wakala
  • Up
  • 11-Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Biashara: Mlango Wa Kuazima ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.