Imaam Ibn 'Uthaymin: Miongoni Mwa Sababu Za Usalama Wa Moyo Kutokujishughulisha Na Dunia

 

Miongoni Mwa Sababu Za Usalama Wa Moyo Kutokujishughulisha Na Mambo Ya Dunia

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema: 

 

“Miongoni mwa sababu za usalama wa moyo ni kutokuushughulisha moyo wako na mambo ya dunia.”

 

 

[Al-Qawl Al-Mufiyd (1/232)]

 

 

Share