Skip to main content

Imaam Ibn Rajab: Haikuthibiti Mwezi Wa Rajab Kuwa Ni Mahsusi Kwa Ajili Ya Kutoka Zakaah

Haikuthibiti Mwezi Wa Rajab Kuwa Ni Mahsusi Kwa Ajili Ya Kutoka Zakaah

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah) amesema: 

“Hakuna dalili katika Sunnah wala sijui kutoka kwa Salaf yeyote kuwa mwezi wa Rajab ni mahsusi kwa ajili ya kutoa Zakaah.”  [Latwaaif Al-Ma’aarif (141)]