126-Hiswnul-Muslim: -Kinachopaswa Kusema Wakati Wa Mfazaiko

Hiswnul-Muslim

126-Kinachopaswa Kusema Wakati Wa Mfazaiko

www.alhidaaya.com

 

 

 

 Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

لا إِلهَ إلاَّ اللهُ

Laa ilaaha illa-Allaah

 

Hapana mwabudiwa wa haki ila Allaah[1]

 

 

 

 


[1]Hadiyth ya Zaynab bint Jahsh (رضي الله عنها)  - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (6/181) [3346], Muslim (4/2208) [2880] na imekuja kikamilifu:

 

أَنّ النَّبِيَّ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ دَخَلَ عَلَيْهَا فَزِعًا يَقُولُ: ((لا إِلَهَ إِلا اللَّهُ ، وَيْلٌ لِلْعَرَبِ مِنْ شَرٍّ قَدِ اقْتَرَبَ ، فُتِحَ الْيَوْمَ مِنْ رَدْمِ يَأْجُوجَ وَمَأْجُوجَ مِثْلُ هَذِهِ)) وَحَلَّقَ بِإِصْبَعَيْهِ الإِبْهَامِ وَالَّتِي تَلِيهَا فَقُلْتُ : يَا رَسُولَ اللَّهِ أَنَهْلَكُ وَفِينَا الصَّالِحُونَ ؟ فَقَالَ: ((نَعَم ، إِذَا كَثُرَ الْخَبَثُ))

 

Nabiy alingia chumbani kwake akiwa katika hali ya kufazaika akasema:

لا إِلهَ إلاَّ اللهُ

((Laa ilaaha illa Allaah – hapana mwabudiwa wa hakiisipokuwa Allaah.  Ole kwa Waarabu kutokana na shari iliyokaribia. Leo limefunguka shimo katika boma la kizuzi cha Ya-ajuwj na Ma-ajuwj kama hivi!)) Akafanya kiduara kwa kufunga kidole chake cha gumba na cha shahada. Nikasema: Ee Rasuli wa Allaah, hivi tutaangamia na hali tumo watu wema?”Akasema: ((Ndio pindi maovu yakizidi)).

 

 

 

 

Share