Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Iweke Dunia Mkononi Mwako Na Si Moyoni Mwako

 

Iweke Dunia Mkononi Mwako Na Si Moyoni Mwako

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Chukua vya duniani vilivyokuwa ni halali kwako wala usisahau sehemu yako ya halali lakini iweke dunia mkononi mwako wala usiiweke moyoni mwako, na hili ndio muhimu zaidi.”

 

 

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (3/369)]

 

 

Share