Skip to main content

001-Al-Faatihaah: Aayah Na Mafunzo07-Aayah Na Mafunzo: Walioghadhibikiwa Na Waliopotea

Aayah Na Mafunzo

Al-Faatihah

Walioghadhibikiwa Na Waliopotea

صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ ﴿٧﴾

7. Njia ya wale Uliowaneemesha, si ya walioghadhibikiwa wala waliopotea.

Mafunzo:

‘Adiy bin Haatim (Radhwiya Allaahu 'anhu) amehadithia kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  amesema: “Walioghadhibikiwa ni Mayahudi, na waliopotea ni Manaswara.” [At-Tirmidhiy Hadiyth Hasan Ghariyb na taz. Silsilah Asw-Swahiyhah (363)]