Skip to main content

Zawadi Kwa Wanandoa07-Zawadi Kwa Wanandoa: Wasia Wa Baba Kwa Binti Yake

Zawadi Kwa Wanandoa

07- Wasia Wa Baba Kwa Binti Yake

وصيّة الأب ابنته

'Abdullaah bin Ja'far bin Abi Twaalib amemuusia binti yake kwa kumuambia, ‘Ole wako na wivu, nao ni ufunguo wa Talaka. Na ole wako na malalamiko mengi, nayo hupelekea katika bughudha. Na jitie wanja kwani huko ndiko kujipamba kuzuri zaidi. Na kizuri katika vizuri zaidi ni Maji.’