Buluwgh-Al-Maraam

 

 

  

 

 

 

Buluwgh Al-Maraam ni mkusanyiko wa Hadiyth zenye hukmu za ki-Fiqhi, alizozikusanya Imaam Al-Haafidwh Ibn Hajar Al-‘Asqalaaniy (Rahimahu Allaah) aliyezaliwa mwaka 773H mji wa Cairo.

 

Hutokuta katika Buluwgh Al-Maraam Hadiyth zinazohusiana na ‘Aqiydah kama kuhusu Rusuli wa Allaah na Manabii, Malaika, Majini, Jannah, Moto na kadhaalika. Bali ni Hadiyth zinazohusiana na hukmu za ‘ibaadah na mi’aamalaat.

 Historia Fupi Ya Imaam Ibn Hajar ‘Asqalaaniy (رحمه الله)