Skip navigation.
Home kabah

Tarjama Ya Maana Ya AL-QUR-AAN AL-'ADHWIYM (Alhidaaya)

 

 

تَرْجَمَةُ مَعَانِي الْقُرْآنِ الْعَظِيم

(الهِدايَة)

Tarjama Ya Maana Ya

AL-QUR-AAN AL-'ADHWIYM

 Alhidaaya.com

Allaah akulipeni kwa jitihada

Allaah akulipeni kwa jitihada yenu kubwa ya kukifasiri kitabu cha Allaah na kuturahisishia sisi tunaozungumza kiswahili. Tunamwombw Allaah awawezeshe kuichapa kwenye kitabu ili pawe na tafsiri ya kutegemewa inayoendana na kitabu na sunnah

assalam aleykum... ningependa

assalam aleykum... ningependa kupata tafsiri hii ya quran katika mfumo wa PDF ama MS Word ili iwe rahisi zaidi kujisomea pindi ninapokuwa sina access ya internet,,
WAHADHA ASSALAM-ALEYKUM WARAHMA-TULLAH

Rudi Juu