Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mtu Aliyetubia Dhambi Asitaje Dhambi Zake Kwa Watu Bali Ajisitiri

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn

Mtu Aliyetubia Dhambi Asitaje Dhambi Zake Kwa Watu

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Imaan Ibn Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Haifai kwa mtu aliyetenda dhambi na akatubia kutokana na dhambi hiyo, kisha kumuambia mtu kuwa yeye alifanya dhambi, kwani kufanya hivyo ni kuikashifu stara ya Allaah (‘Azza wa Jalla) kwako.

 

[Fataawaa Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn (1/14)]