Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Ramadhwaan: Swawm Si Kuacha Kula Na Kunywa Pekee

Kauli Za Salaf 'Ibaadah za Misimu

 Swawm Si Kuacha Kula Na Kunywa Pekee

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

Alhidaaya.com

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:

"Swawm (funga) si tu kuacha chakula na kinywaji na matamanio ya kula na kunywa.

Lakini pamoja na (kuacha hayo), ni kujizuia na yote yaliyoharamishwa na Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa)."

[Majaalis Shahr Ramadhwaan Al-Mubaarak, uk. 15]