Ijue Sunnah, Utaijua Bid’ah Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) www.alhidaaya.com Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema: “Ijue Sunnah (kwanza), (ndipo) utaijua bid’ah. Ama ikiwa utaijua bid’ah (mwanzo) basi hutoweza kuijua Sunnah.” [Al-Hudaa Wan-Nuwr (715)]