Shaykh Fawzaan - Usimpende Kafiri Lakini Amiliana Naye Kwa Uadilifu Na Wema

Usimpende Kafiri Lakini Amiliana Naye Kwa Uadilifu Na Wema

 

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaahu) amesema:

 

“Usimpende Kafiri abadan. Lakini utaamiliana naye kwa uaminifu na ukweli na muamala mwema, hakuna ubaya.”

 

 

[Sharh Fat-h Al-Majiyd 30.04.1437H]

 

 

Share