Athari Ya Tawhiyd Na Istighfaar Juu Ya Shirk Na Madhambi
'Aqiydah-Tawhiyd
Athari Ya Tawhiyd Na Istighfaar Juu Ya Shirk Na Madhambi
Kuamini Al-Qadar/Majaaliwa Kunaondosha Dhiki
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)
Wingi Wa Dhambi Kwa Tawhiyd Sahihi Ni Bora
Kuliko Uchache Wa Dhambi Kwa Tawhiyd Iliyofisidika
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
‘Amali Njema Kabisa Ni Tawhiyd Na Ovu Kabisa Ni Shirki
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
‘Aqiydah Dhaifu Ni Maradhi Ya Kihakika, Poza Yake Ni Tawhiyd Na Aqiydah Sahihi
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah) amesema:
Udhaifu wa 'Aqiydah ni maradhi ya kihakika ambayo anapaswa mtu ajitibu kwa kupata maarifa ya Tawhiyd na ‘Aqiydah Sahihi.”
Wanaoghafilika Na Kauli Ya Laa Ilaaha Illa-Allaah
Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)
Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah) amesema:
“Kuna watu ambao shaytwaan anawaghafilisha na kauli ya:
لا إله إلاَّ الله
Tawhiyd Ndio Msingi Wa Yote
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
“Tawhiyd ni maudhui muhimu na ni msingi wa Dini na msingi wa yote waliyokuja nayo Rusuli (‘Alayhimus-Salaam) kutoka wa mwanzo wao (Aadam) mpaka wa mwisho wao (Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)”