Skip to main content

  الْكَوْثَر

108-Al-Kawthar

108-Al-Kawthar: Utangulizi Wa Suwrah

Alhidaaya.com

بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ ﴿١﴾

1. Hakika Sisi Tumekupa Al-Kawthar[1] 

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ ﴿٢﴾

2. Basi swali kwa ajili ya Rabb wako na chinja.  

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ الْأَبْتَرُ ﴿٣﴾

3. Hakika mbaya wako, yeye ndiye atakayekatiliwa mbali (kizazi na kila kheri).

 

[1] Sababun-Nuzuwl (Sababu Ya Kuteremshwa) Aayah Au Suwrah:

Bonyeza kiungo kifuatacho:   

108-Asbaabun-Nuzuwl: Al-Kawthar: إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ

Rejea pia Utangulizi Wa Suwrah kwenye faida tele pamoja na fadhila za Suwrah.