Skip to main content

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)076-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kuomba Unapoona Matunda Yanachipua Kwenye Miti

Hiswnul-Muslim

076-Du’aa Ya Kuomba Unapoona Matunda Yanachipua Kwenye Miti

www.alhidaaya.com

 Bonyeza Hapa Usikilize

[187]

اللّهُـمَّ بارِكْ لَنا في ثَمَـرِنا، وَبارِكْ لَنا في مَدينَتِنـا، وَبارِكْ لَنا في صَاعِنـَا، وَبارِكْ لَنا فِي مُدِّنا

Allaahumma Baarik lanaa fiy thamarinaa, wa Baarik lanaa fiy madiynatinaa. Wabaarik lanaa fiy swaa’inaa, wa Baarik lanaa fiy muddinaa

Ee Allaah Tubarikie matunda yetu, na tubarikie Mji wetu, na Tubarikie pishi (swaa’a) yetu na tubarikie kibaba (mudd) chetu[1].

 

[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه)  - Muslim (2/1000) [1373]

Swaa’a:  Ni pishi na ni sawa na taqriban Kilo 2 12 au 3 .