Skip to main content

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)100-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Anaesafiri Kuwaombea Wakaazi

Hiswnul-Muslim

100-Du’aa Ya Anaesafiri Kuwaombea Wakaazi

www.alhidaaya.com

Bonyeza Hapa Usikilize

[211]

  أَسْتَوْدِعُكُمُ اللَّهَ الَّذِي لاَ تَضِيعُ وَدَائِعُهُ

Astawdi’ukumu Allaha Alladhiy laa tadhwiy’u wadaai’uhu

Nawaacha katika amana ya Allaah Ambaye hakupotei amana Kwake[1]

 

[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه)  ((Anayeazimia kusafiri, amwambie aliyebakia:

  أَسْتَوْدِعُكُمُ اللَّهَ الَّذِي لاَ تَضِيعُ وَدَائِعُهُ

Ahmad (2/403), Ibn Maajah (2/943) [2825] na angalia: Swahiyh ibn Maajah (2/133)