Skip to main content

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)102-Hiswnul-Muslim:Kusema Allaahu Akbar, Subhaana Allaah Wakati Wa Kupanda Na Kushuka Mlima

Hiswnul-Muslim

102-Kusema Allaahu Akbar, Subhaana Allaah

Wakati Wa Kupanda Na Kushuka Mlima

www.alhidaaya.com

Bonyeza Hapa Usikilize

[214]

Imepokewakutoka kwa Jaabir (رضي الله عنه) amesema: ‘Tulikuwa tukipanda mlima tunasema:

اللهُ أَكْـبَر

Allaahu Akbar

Allaah ni Mkubwa

Na tukishuka tunasema:

سُبْـحانَ الله  

Subhaana-Allaah

Utakasifu ni wa Allaah[1]

 

[1] Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (6/135) [2993]