Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kuweka Au Kutundika Jina La Allaah Na La Muhammad Sambamba

Haijuzu Kuweka Au Kutundika Jina La Allaah Na La Muhammad Sambamba

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthyamiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

Haijuzu kuweka Jina la Allaah na jina la Muhammad sambamba kwa sababu hii ni aina ya shirki na kumlinganisha kiwizani Allaah na Rasuli Wake.

[Nuwr ‘Alaa Ad-Darb (2/4)]