Imaam Ibn ‘Uthaymin: Adhabu Si Katika Mwili Mali Na Ahli Bali Ni Kuwa Na Maradhi Ya Moyo

Kauli Za Salaf: Maasi

 

Adhabu Si Katika Mwili Mali Na Ahli

Bali Adhabu Mbaya Kabisa Ni Kuwa Na Maradhi Ya Moyo

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Watu wengi wanadhania kwamba adhabu inahusiana katika siha ya mtu, afya, mali na watoto, bali kuwa na maradhi ya moyo na moyo uliofisidika ndio adhabi mbaya zaidi.”

 

 

[Ahkaam Min-Al-Quraan (1/87)]

 

 

Faida:  Maradhi ya moyo yaliyokusudiwa ni yale yaliyotajwa katika Qur-aan kama shirki, bid’ah, unafiki, uhusuda, chuki, mafundo na vinyongo na kila aina ya maasi.