Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Swahaba Hawakumsimamia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Walivyojua Anachukia Hivyo

Swahaba Hawakuwa Wakimsimamia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

Walivyojua Anachukia Hivyo

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

 “Swahaba (Radhwiya-Allaahu ‘anhum) hawakuwa wakimsimamia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  kwa vile walijua kuchukiwa kwake hivyo wala hawakuwa wakisimamiana wao kwa wao.” [Mukhtaswar Al-Fataawaa Al-Miswriyyah (2/26-27)]