Skip to main content

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya KiarabuL-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com

L

Neno

Maana

Kiarabu

lahani

sauti fulani, tuni

(pia makosa ya kisarufi katika lugha ya Kiarabu na katika usomaji wa Qur-aan)

لحن

laiti

ليت

latifu

1-Latifu ni Sifa ya Allaah ya upole na ujuzi wa yanayoonekana na yasiyoonekana makubwa na ya hata chembe ya hardali. Pia Al-Latwifu ni katika Majina Yake matukufu.

2-laini, upole.

لطيف

libasi/lebasi

mavazi

لباس