Skip to main content

Imaam Ahmad: Kutafuta ‘Ilmu Ni Amali Bora Kabisa Kwa Aliyesahihisha Niya Yake

Kutafuta ‘Ilmu Ni Amali Bora Kabisa Kwa Aliyesahihisha Niya Yake

Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah)

“Kutafuta ‘Ilmu ni amali bora kabisa kwa aliyesahihisha niya yake.”

[Ghidhaa Al-Albaab fiy Mandhwuwma Al-Aadab, Juz 2 uk 519]