Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Nyumba Ya Muislaam Sio Duniani Bali Ni Jannah (Peponi)

Nyumba Ya Muislaam Sio Duniani Bali Ni Jannah (Peponi)

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Shaykh Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):

"Dunia si nyumba ya Muislaam bali nyumba ya muislam ni Jannah (Pepo)"

[Sharhu Al-Arbai’yn (285)]