Imaam Hasan Al-Baswriy: Rasimali Ya Muislamu Ni Dini Yake

Rasimali Ya Muislamu Ni Dini Yake

 

Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)

 

"Rasilimali ya Muumini ni Dini yake na haiwachi anapokuwa safarini wala haiweki amana kwa watu."

 

[Al-Istidhkaar li-Ibn ‘Abdil-Barr (2/28)]

 

 

 

 

 

 

Share