Skip to main content

Misimiati Yenye Asili Za Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com

A

Neno

Maana

Kiarabu

Aakhirah Akhera, Siku ya Mwisho

آخرة

aali/a’laa bora kabisa, adhimu, tukufu

العلي/الأعلى

abadi daima, milele, kamwe, katu

أبدا

abdi (Sing)

abidi (Plur)

mtumwa au mja wa Allaah

عبد/عباد

abuwabi milango

أبواب

abyadhi baidhati/eupe

أبيض

adhabu

adhabu, mateso.

عذاب

adhimu

enye sifa/liyotukuka, tukufu/aali/Jalili, kubwa mno.

Jina na Sifa ya Allaah ('Azza wa Jalla): Mkubwa, Mtukufu Mno.

عظيم

afriti jini mbaya anayedhuru watu

عفريت من الجن

afwaji kikundi cha watu.

  أفواجا

ajili   harakisha

أجل

ajmaina pamoja, wote

أجمعون

akhirisha kuchelewecha  

أخر

akili akili, bongo.

عقل

alamina ulimwengu, walimwengu.

عالمين 

ansari mnusuraji, msaidizi

أنصار/ أنصاري

ardhi ardhi, nchi

ارض

aridhi mabadiliko katika hali ya mwili au akili ya mtu, kukengeuka, kugeukilia mbali jambo, kupuuza.

عرض

arifu taarifa, kutaarifu, kujulisha 

عرف

arshi

-‘Arshi ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) iliyokuweko juu baada ya mbingu saba.

-kiti cha enzi cha mfalme au mtawala. 

عرش

arzaki wingi wa riziki

أرزاق

asaa huenda, pengine, labda

عسى

ashirafu, karimu tukufu, ukarimu, taadhima.

كريم

ashiya jioni, usiku

عشية

asighari ndogo kabisa

أسغر

asilani kamwe, abadani, katu, kiuhalisi

أصلا

asira mateka  

أسرى/ أسير

asisi kuanzisha jambo au kitu

أسس

ati! eti! 

neno la kutanabahisha jambo kumfanya mtu asikilize. Neno la kukanusha jambo kwa mshangao.

ألا

atia zawadi/kipawa

عطاء

atibu

toa makosa, kengemeka, shutumu.

يستعتبون

atifali watoto wadogo

أطفال

auladi watoto wa kiume

أولاد

awlaa bora zaidi, kiupambele

أولى

azimia kuazimia kutenda jambo.

عزم

insi binaadamu, mwanaadamu, mtu

الإنس

istahabu   kupendekezeka, kuhiari, kupendelea

أستحبوا

istihizai isthizai, kejeli.

إستهزاء

istiimaar utaratibu ambao nchi moja hutawal  nchi nyengine kama koloni.

إستعمار 

umuri mambo

أمور