Juisi ya Kuua Toksini (Athari Za Sumu) - Detoxifying Juice

Juisi ya Kuua Toksini (Athari Za Sumu) - Detoxifying

 

Vipimo

Majani ya Kale (kale leaves) - 3

Brokoli pamoja na miche yake - ½ msongo

Kabeji iliyokatwa pamoja na zizi lake - ½

Nyasi majani (fennel) -1

Tufaha (apples) - 2

 

 

 

        

 

                    Majani Ya Kale                                           Nyasi majani (fennel)

 

Namna Ya Kutayarsiha

  1. Katakata vitu vyote vipand weka katika bakuli
  2. Tia katika mashine ya kukamua juisi, washa mashine ikamue juisi.
  3. Mimina katika gilasi ikiwa tayari kunyiwa 

Kidokezo:

Juisi hii ni ya kuondosha athari za sumu (toxins) zinazokusanyika mwilini na kusababisha maradhi mbali mali. Kutumia kwake kila baada ya muda kunasaidia kusafisha damu na kumihifadhi mtu na athari za sumu.

 

 

Share