Aisikirimu Ya Vanilla Cornflakes Na Pichi

Aisikirimu Ya Vanilla Cornflakes Na Pichi  

  

Vipimo

Aisikirimu ya vanilla (vanilla ice cream) - 12 michoto (Scoops)

Pichi (peaches) - 1 kopo

Cornflakes - 2 vikombe  

Namna Ya Kutayarisha: 

  1. Chota michoto (scoops) miwili weka katika vigilasi vya aisikirimu. 
  2. Tia vipande vya pichi pembeni.  
  3. Pembe nyingine tia cornflakes kidogo kama inavyoonekana katika picha.

 

Share