Mbora Ni Yule Anayekutakia Khayr www.alhidaaya.com Imaam Ibn Hibbaan (Rahimahu Allaah) amesema: "Bora wa ndugu ni wale wanaomtakia khayr mwenzao. Ni bora kupigwa na mtu anayekutakia khayr, kuliko kusalimiwa na mtu mwovu." [Ar-Rawdhwah, uk. 195]