Skip to main content

Imaam Al-Awzaa'iy - Fuata Mwenendo Wa Salaf

Fuata Mwenendo Wa Salaf
 
 
 


Imaam Al-Awzaa'iy (Rahimahu Allaah) amesimuliwa akisema:
 


"Fuata masimulizi (njia) ya wale waliotangulia (Salaf) japo watu watakupinga.

Na jihadhari na watu wa rai japo watakupendezesha wewe."
 
 


[Jaami' Bayaan Al-'Ilm Wa Fadhwlihi, mj. 3, uk. 373]