Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Ni Salaf Wa Mwanzo Na Mbora

 
Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Ni  Salaf Wa Mwanzo Na Mbora 
 
 
 
Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) alisema kumweleza (bint yake) Faatwimah (Radhwiya Allaahu 'anhaa):
 
"Hakika Jibriyl ('Alayhis-Salaam) ana kawaida ya kunisikiliza kisomo changu cha Qur-aan kwa mwaka mara moja.
Na sasa (mwaka huu) amefanya mara mbili, na sioni isipokuwa muda wangu niliyokhitariwa uko karibu.
Kwa hiyo, mche Allaah na kuwa na subira, kwani hakika mimi ni  Salaf bora kwako."
 
 
[Al-Bukhaariy na Muslim]
 
Share