Skip to main content

‘Abdullaah bin Ad-Daylamiy: Ya Kwanza Kupotea Katika Dini Ni Kuacha Sunnah

Ya Kwanza Kupotea Katika Dini Ni Kuacha Sunnah

‘Abdullaah bin Ad-Daylamiy (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com  

“Jambo la mwanzo lililopotea katika Dini ni kuacha Sunnah, huondoka Dini Sunnah kwa Sunnah kama linavoondoka jabali nguvu kwa nguvu.”

[Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/93)]